Ziara yangu Uhuru Park Al KagsKenyan blogs, Kenyan Blogs Webring, Society, UncategorizedSeptember 29, 2006 Baada ya kutumia baadhi ya masaa ya asubuhi yangu katika eneo la kupumzikia la Uhuru, yaani Uhuru park, imenijia akilini kwamba maneno ya wakongwe wa kale wa Kiswahili waliosema, “tembea uone mengi”, yalikuwa ni ya ukweli mtupu. Hii leo niliamua … Continue reading